Exodus 11:1

Pigo La Kumi: Kuuawa Wazaliwa Wa Kwanza

1 aBasi Bwana alikuwa amemwambia Mose, “Nitaleta pigo moja zaidi kwa Farao na katika nchi ya Misri. Baada ya hilo, atawaacha mwondoke hapa na atakapofanya hivyo, atawafukuza mtoke kabisa.
Copyright information for SwhNEN